Kalagala ni mji uliopo Uganda ya kati ikiwa ni moja ya maeneo ya mji mkuu katika Wilaya ya Luweero; miji mingine wilayani hapo ni pamoja na: Bamunanika, Bombo, Luweero, Wobulenzi na Ziroobwe.

Ramani ya eneo la Uganda
majira nukta (00 36 47N, 32 36 56E (Latitude: 0.6130; Longitude: 32.6105))

Mahali ilipo

hariri

Kalagala ipo takriban kilomita 15 sawa na maili 9.3 kwa barabara umbali kutokea kaskazini mashariki mwa Bombo[1] ambao ndio mji mkubwa ulio karibu. pia ipo takriban kilomita 46 sawa na maili 29 kwa barabara umbali kutokea kaskazini mashariki mwa Kampala ambalo ndio jiji kubwa zaidi nchini Uganda na mji mkuu wa nchi hiyo[2]. inapatikana kwa majira nukta (00 36 47N, 32 36 56E (Latitude: 0.6130; Longitude: 32.6105)).

Marejeo

hariri