Bamunanika (kwa tahajia sahihi ya matamshi ni Baamunaanika) ni mji katika wilaya ya Luweero katikati ya Uganda.

Ramani ya eneo la Uganda
majira nukta (00 41 15N, 32 36 31E (Latitude: -0.6875; Longitude: 32.6085))

Mahali ilipo hariri

Bamunanika iko takriban kilomita 52 sawa na maili 32 kwa barabara, kaskazini mwa mji mkuu wa Kampala, mji mkuu wa Uganda.[1] ikiwa na majira nukta (00 41 15N, 32 36 31E (Latitudo: -0.6875; Longitudo: 32.6085))

Muhtasari hariri

Bamunanika ni miongoni mwa miji iliyopo wilaya ya Luweero, ikiwa miji mingine ni pamoja na:

Marejeo hariri