Kalmar ni mji nchini Uswidi.Kuna wakazi 35,170 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1100. Katika karne ya kati ilikuwa mji uliostawi kutokana na biashara kwenye Bahari Baltiki. Kalmar ilishirikiana na shirikisho la kibiashara la Hanse. Mwaka 1397 wawakilishi wa falme 3 za Skandinavia yaani Denmark, Norwei na Uswidi walikutana mjini na kupatana Umoja wa Kalmar uliowaunganisha kwa karne zijazo kisiasa.

Barabara kuu katika Kalmar

Jiografia hariri

Eneo lake ni 18.85 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kalmar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.