Kamanda

Kamanda (kutoka Kiingereza: Commander) ni cheo cha afisa wa nevi na jeshi la anga kilicho chini ya Nahodha na juu ya Luteni Kamanda.

Ishara ya kamanda wa Jeshi la Majini la Merika

Cheo cha kamanda pia hupatikana katika baadhi ya vikosi vya polisi.