Kameyama wa Japani

Kameyama (9 Julai, 12494 Oktoba, 1305) alikuwa mfalme mkuu wa 90 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tsunehito, na alikuwa mwana wa saba wa Go-Saga. Mwaka wa 1259 alimfuata kaka yake Go-Fukakusa, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1274. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Go-Uda.

Mchoro wa Kameyama

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kameyama wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.