Kanda ya Kusini, Malawi
Kanda ya Kusini ni kanda ya kiutawala nchini Malawi.
Eneo lake ni la kilomita za mraba 31,753.
Makao makuu yako mjini Blantyre.
Mnamo 2018, idadi ya wakazi ilikuwa 7,750,629 [1].
Kati ya wilaya 28 nchini Malawi, 13 ziko ndani ya Mkoa wa Kusini. Nazo ni: