Kanoni, Uganda

Kanoni ni mji wa Mkoa wa Kati wa Uganda ambao ndio makao makuu ya wilaya ya Gomba.

Katika sensa ya mwaka 2014 ulikuwa na wakazi 12,439[1].

Tazama piaEdit

MarejeoEdit