Kanuni za kifonolojia
Makala hii kuhusu "Kanuni za kifonolojia" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Kanuni za kifonolojia ni mabadiliko mbalimbali yanayotokea wakati mtu anapotamka neno au tungo, hapa tunaangalia zaidi kipande sauti ambacho hubadilikabadilika na kuwa katika tofauti. Kanuni hizo ni:
- udondoshaji
- uyeyushaji
- ukaakaaishaji
- muungano wa irabu
- tangamano la irabu
- ving`ong`o kuathiri konsonanti
- konsonanti kuathiri ving`ong`o
- ving`ong`o kuathiri irabu