Karabük ni mji uliopo katika eneo la Bahari Nyeusi nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Karabük. Kwa mujibu sensa ilifanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wanaoishi katika jiji hili ni 116,804 ambao wengine 100,749 wanaishi katikati ya mji huu wa Karabük.[1][2] Mji unachukua kilomita za mraba zipatazo 760[3].

Chuo kilichopo mjini hapa.

Viungo vya Nje hariri

  1. Turkish Statistical Institute. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (XLS) (kwa Turkish). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-11-20. 
  2. GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-11-20. 
  3. Statoids. "Statistical information on districts of Turkey" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-11-20. 

Viungo vya Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Karabük kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.