Karayme Bartley (alizaliwa 10 Septemba 1995) ni mwanariadha nchini Jamaikaambaye alishiriki katika mashindano ya kupokezana vijiti za mita 4 × 400 katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2020.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Karayme Bartley".
  2. "Athletics - Round 1 - Heat 2 Results".
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karayme Bartley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.