Karlstad ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1584. Kuna wakazi 58,544 (mwaka 2005). Kuna pia Chuo Kikuu cha Karlstad.

Kanisa la Karlstad

Historia

hariri

Karlstad ilianzishwa mwaka 1584 na Karl IX.

Jiografia

hariri

Eneo lake ni 29.92 km².

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Karlstad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.