Karoline Olesen (alizaliwa Februari 3, 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Udeni ambae anacheza kama kiungo ya Everton inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Wanawake Uingereza(WSL) na timu ya taifa ya walio na umri chini ya miaka 19 Denmark.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karoline Olesen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.