Karuzi
Karuzi ni mji mkuu wa mkoa wa Karuzi nchini Burundi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 10.705 (2005).
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karuzi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |