Mkoa wa Karuzi
Mkoa wa Karuzi ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 480,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 1,457 km².

Mahali pa Mkoa wa Karuzi katika Burundi
Mji mkuu ni Karuzi.
Tazama piaEdit
Mikoa ya Burundi | |
---|---|
Bubanza • Bujumbura Mjini • Bujumbura Vijijini • Bururi • Cankuzo • Cibitoke • Gitega • Karuzi • Kayanza • Kirundo • Makamba • Muramvya • Muyinga • Mwaro • Ngozi • Rumonge • Rutana • Ruyigi | |
+/- |
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Karuzi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |