Darfur Kaskazini
(Elekezwa kutoka Kaskazini Darfur)
16°4′N 25°28′E / 16.067°N 25.467°E
Darfur Kaskazini (kwa Kiarabu: شمال دارفور, Shamal Darfor) ni mojawapo ya wilayat au majimbo 18 ya Sudan. Ni mojawapo ya majimbo yanayojumuisha kanda ya Darfur.
Lina ukubwa wa eneo wa km² 296,420 na idadi ya wakazi wake inakadiriwa kuwa 1,583,000 (2006). Al-Fashir ndio mji mkuu wake. Miji mingine muhimu ni pamoja na miji ya Kutum na Tawila.
Viungo vya nje
hariri- "Fresh hopes for North Darfur" by Julie Flint, BBC News From Our Correspondent, 14 Juni 2007
Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Darfur Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |