Katerini
Katerini (kwa Kigiriki: Κατερίνη) ni mji wa huko Masedonia (Ugiriki Kaskazini).
Iko kwenye uwanda wa Pierian, kati ya Mlima Olimpos na Ghuba ya Thermaikos, kwenye mwinuko wa mita 14. Sehemu ya manispaa ya Katerini ina idadi ya watu 85,851 (kulingana na sensa ya mwaka 2014) na ni eneo la pili la mijini lenye watu wengi katika Mkoa wa Makedonia baada ya Thesalonike.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Katerini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |