Kathrine Møller Kühl

Mchezaji wa kandanda wa chama cha Denmark

Kathrine Møller Kühl (alizaliwa 5 Julai 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Udeni ambae anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL),[2]Kathrine anachezea Everton kwa mkopo akitokea Arsenal.

Marejeo hariri

  1. "Katherine Kühl - Everton Midfielder". ESPN (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  2. JHowEFC08 (2024-02-12). "Nottingham Forest 1-7 Everton Women: Adobe Women’s FA Cup Match Report". Royal Blue Mersey (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kathrine Møller Kühl kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.