Katie Startup
Golikipa wa Uiingereza
Katie Startup (alizaliwa 28 Januari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu,kutoka Uingereza ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) kwa mkopo kutoka Brighton & Hove Albion.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Katie Startup Stats, Info and performances". FootballCritic (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-29.
- ↑ "Katie Startup joins City on short-term loan". www.brightonandhovealbion.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Katie Startup kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |