Katie Zelem

Mchezaji wa mpira wa miguu (aliyezaliwa 1996)

Katie Leigh Zelem (alizaliwa 20 Januari 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza,ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.[2] Zelem aliwahi kuichezea Liverpool ambapo alishinda mara mbili WSL mwaka 2013 na 2014, pamoja na Juventus ya Italia[3], akishinda Serie A msimu wa 2017-2018 akiwa na klabu hiyo. Zelem kisha alijiunga na United kushinda ubingwa wa Wanawake katika msimu wake wa kwanza wa 2018-2019.

Zelem akiwa na Manchester United mnamo 2023

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-08. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
  2. The Football Association. "England woen's legacy and results archive". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
  3. "Women: la Juve vince e va al terzo turno di Coppa Italia - Juventus.com". web.archive.org. 2017-12-14. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-14. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katie Zelem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.