Keisuke Honda
Keisuke Honda (本田 圭佑; alizaliwa 13 Juni 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Japani. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Japani.
Honda alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Japani tarehe 22 Juni 2008 dhidi ya Bahrain. Honda alicheza Japani katika mechi 98, akifunga mabao 37.[1]
Takwimu
haririTimu ya Taifa ya Japani | ||
---|---|---|
Mwaka | Mechi | Magoli |
2008 | 1 | 0 |
2009 | 10 | 3 |
2010 | 12 | 3 |
2011 | 8 | 2 |
2012 | 9 | 4 |
2013 | 12 | 8 |
2014 | 13 | 4 |
2015 | 14 | 10 |
2016 | 7 | 2 |
2017 | 5 | 0 |
2018 | 7 | 1 |
Jumla | 98 | 37 |
Tanbihi
hariri- ↑ 1.0 1.1 Keisuke Honda at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Keisuke Honda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |