Makala hii ina dalili ya kutungwa kwa kutegemea programu ya kompyuta kama vile "Google translation" au "wikimedia special:content translation" bila masahihisho ya kutosha. Watumiaji wanaombwa kuchunguza tena lugha, viungo na muundo wake. Wakiridhika na hali yake wanaweza kuondoa kigezo hiki kinachoonekana kwenye dirisha la kuhariri juu ya matini ya makala kwa kutumia alama za {{tafsiri kompyuta}} .

Kelvin Derola anaejulikana zaidi kwa jina la Kelvin Chaisson Tibwa, alizaliwa tarehe 02 Juni 1996. Ni mchangamuzi na mwanablogu maarufu nchini Tanzania mwenye degree ya ufamasia. Tangu mwaka 2019 mpaka sasa amekuwa akijihushisha na masuala ya blogu yaliyompatia umaarufu mkubwa nchini Tanzania na nchi zinginine za jirani.

Kelvin Derola
Kelvin Derola poses for a picture
AmezaliwaKelvin Chaisson Tibwa
02 Juni 1996
Mwanza
kaziMwanablogu, Mchangamuzi
Sifa muhimuSEO Expert
rasmi

Alivyoanza na Wasifu za kimtandao na mafanikio

hariri

Mara baada ya kumaliza elimu yake ya chuo mnamo mwaka 2020, Kelvin Derola alianza rasmi masuala ya blogu, akijikita zaidi kwenye niche ya burudani na habari. Akianza na blogu ya offblogmedia.com na baadae baada ya mafanikio makubwa akaanzisha ScaryBeatz.com, zote zikiwa zinatembelewa na wafuasi zaidi ya 50,000 kwa siku.

Si hivyo tu, bali Kelvin Derola amesafiri mara kadhaa kuelekea nchini Kenya na Burundi kutoa elimu juu ya SEO kwa wachangamuzi wachanga. Blogu zake ni moja kati ya blogu zenye mvuto online kwa design zilizo za kisasa. Vilevile anatumia majukwaa kama Facebook, Twitter, TikTok na Instagram akijulikana kwa jina la mtumiaji "@kelvinderola"

Kelvin Derola ni mwanzilishi na mmiliki wa blogu Offblogmedia.com na ScaryBeatz.com. Licha ya kuwa na upinzani mkubwa online, blogu zake zimekuwa kati ya blogu pendwa nchini Tanzania, Nigeria, Ghana, Kenya na nchi nyinginezo.

Akiwa kama mchangamuzi, alijikuta akiingia kwenye masuala ya SEO na kuyapenda zaidi, akifunza online haswa YouTube na magrupu ya mitandao ya kijamii kama Facebook na Telegram. Hivyo ikamuongezea ujuzi ambao ulifanya biashara yake ya mtandaoni kupata wafuasi wengi.