Kenneth Wayne Paul Tobias (Amezaliwa 25 Julai, 1945 – amefariki 2 Oktoba, 2024) alikuwa mtunzi na mwimbaji kutoka Kanada. Anajulikana kwa kuandika wimbo maarufu mwaka 1971 wa kundi la The Bells , "Stay Awhile", na kwa kurekodi nyimbo nyingi zilizouza sana.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Ken Tobias Discography – Canada". 45cat.com. Iliwekwa mnamo Aprili 5, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Veteran Ken Tobias and rising star Jessica Rhaye collaborate on songs and on stage" Archived Machi 7, 2012, at the Wayback Machine, Moncton Times & Transcript, November 18, 2009
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ken Tobias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.