Kenji Cabrera
Kenji Giovanni Cabrera Nakamura (alizaliwa 27 Januari 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Peru mwenye asili ya Japani. Anachezea klabu ya FBC Melgar kama kiungo.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Zanatta, Diego. "¿Quién es Kenji Cabrera, futbolista nacido en Japón que es sensación en Melgar?", 14 August 2022. Retrieved on 15 January 2023. (Spanish)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kenji Cabrera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |