27 Januari
tarehe
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Januari ni siku ya ishirini na saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 338 (339 katika miaka mirefu).
MatukioEdit
- 98 - Trajanus anakuwa Kaisari wa Dola la Roma ambalo chini yake litafikia kilele cha uenezi wake
- 1695 - Mustafa II anachukua nafasi ya Sultani wa Milki ya Osmani badala ya Ahmad II aliyefariki
WaliozaliwaEdit
- 1756 - Wolfgang Amadeus Mozart, mtunzi wa muziki Mwaustria
- 1903 - John Eccles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 1936 - Samuel Ting, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976
- 1960 - Samia Suluhu, makamu rais wa Tanzania (tangu 2015)
WaliofarikiEdit
- 98 - Nerva, Kaisari wa Dola la Roma (tangu 96)
- 672 - Papa Vitalian
- 1540 - Mtakatifu Angela Merichi, bikira Mfransisko wa Italia
- 1887 - Mtakatifu Yohane Maria Muzei, mfiadini kutoka Tanzania ya leo
- 1901 - Giuseppe Verdi, mtunzi wa opera kutoka Italia
- 2009 - John Updike, mwandishi kutoka Marekani
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Anjela Merici, Juliani wa Sora, Juliani wa Le Mans, Mario wa Bodon, Papa Vitaliani, Yohane Maria Muzei, Enriko wa Osso n.k.
Viungo vya njeEdit
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |