Kennedy Ohene Agyapong (alizaliwa 16 Juni 1960) ni mwanasiasa na mfanyabiashara kutoka Ghana ambaye anawakilisha jimbo la Assin Central bungeni akiwa mwanachama wa Chama cha New Patriotic Party (NPP).[1][2]

Kennedy Agyapong

Marejeo

hariri
  1. "I don't fear for my life, 'all die be die' – Kennedy Agyapong – MyJoyOnline.com" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-05-26.
  2. "No time for demonstration again; our gods will deal with you - Assin youth tells politicians - MyJoyOnline.com". myjoyonline. (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-05-19.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kennedy Agyapong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.