Kevin John Ufuoma Akpoguma (alizaliwa 19 Aprili 1995) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Bundesliga 1899 Hoffenheim. [1] Mzaliwa wa Ujerumani, Akpoguma alikuwa mchezaji wa kimataifa wa vijana wa Ujerumani lakini alibadilisha na kuwakilisha timu ya taifa ya Nigeria.

Kevin John Ufuoma Akpoguma

Ushiriki Katika Kazi hariri

Akpoguma alitumia msimu miaka miwili 2016–17 kwa mkopo katika mechi 2. Fortuna Düsseldorf inayoshiriki Bundesliga. Mnamo tarehe 21 Aprili 2017.

Ushiriki Kimataifa hariri

Kevin wazazi wake wana uzawa wa (mama Mjerumani na baba wa Nigeria), Kevin Akpoguma anastahili kuchezea Ujerumani na Nigeria. Amewakilisha Ujerumani katika ngazi ya vijana, akichezea timu za U16, U17, U18, U19, U20, na U21.

Heshima hariri

Binafsi

  • Medali ya Dhahabu ya Fritz Walter U18: 2013[2]

Marejeo hariri

  1. "Akpoguma, Kevin" (kwa Kijerumani). kicker.de. Iliwekwa mnamo 14 December 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Fritz-Walter-Medaille: Ginter auf Götzes Spuren" (kwa Kijerumani). 14 August 2013. Iliwekwa mnamo 15 August 2013.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kevin Akpoguma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.