Kezia Rukidi
Malkia wa Toro
Princess Kezia Rukidi wa Toro (1906–1998) Alikuwa mke wa Mfalme George Rukidi III wa Toro (1904–1965).
Kama Batebe (Malkia-Dada), alihudumu kama mshauri mkuu wa mfalme kutoka 1965 hadi 1998. Alikuwa mama wa Princess Elizabeth wa Toro.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Elizabeth Bagaaya Nyabongo of Toro | Encyclopedia.com". www.encyclopedia.com. Iliwekwa mnamo 2024-02-19.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kezia Rukidi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |