Kgaogelo "Kegs" Chauke

Kgaogelo "Kegs" Chauke (alizaliwa 8 Januari 2003), ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Afrika Kusini anayecheza kama kiungo katika klabu ya Southampton F.C..

Ushiriki katika klabu

hariri

Baada ya kujiunga na kablu ya Southampton F.C. kutokea klabu ya Thatcham Town F.C. mnamo mwaka 2017, alisaini mkataba na Southampton kwa muda wa miaka miwili, Alicheza mechi ya kwanza mnamo Januari 19 mwaka 2021

Ushiriki kimataifa

hariri

Chauke alizaliwa Afrika Kusini na ana haki ya kuwakilisha Afrika Kusini na Uingereza kimataifa. Alichaguliwa katika kikosi cha timu ya taifa ya soka ya Uingereza chini ya miaka 18 katika kambi ya mazoezi mnamo Novemba 2020.[1] Mwezi Februari 2021, Chauke aliteuliwa katika kikosi cha awali cha wachezaji 78 kinachowakilisha Afrika Kusini katika Michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.[2] Hata hivyo, hakuchaguliwa katika kikosi cha mwisho cha wachezaji 22.

Marejeo

hariri
  1. "Three England Men's development squads will meet for training camps in November", The FA, 6 November 2020. Retrieved on 20 January 2021. 
  2. "Safa may have to fight England for services of Southampton teen Kgaogelo Chauke". TimesLIVE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-17.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kgaogelo "Kegs" Chauke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.