Khadija Nin

"Khadija Nin" ni jina la albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa pop na dansi kutoka nchini Burundi, Bi. Khadja Nin.[1]

Hamna Jina
Cover
Studio album ya Khadja Nin
Imetolewa 1992
Aina Pop, afro-pop, ballad, soul
Wendo wa albamu za Khadja Nin
"Khadija Nin
(1992)
"Wale Watu"
(1992)

Orodha ya nyimboEdit

Hii ni orodha ya nyimbo katika albamu hii;

 • Leo Leya
 • Mulofa
 • Ay Ay Ay
 • Bwana C.
 • Mwana Wa
 • Simba
 • Ile
 • Wale Watu
 • Samba Latino
 • Mupe
 • Rudiya
 • Njala

MarejeoEdit

 1. Khadija Nin katika wavuti ya Disvogs