Wale Watu

"Wale Watu" ni jina la albamu ya pili kutolewa kutoka kwa msanii wa muziki wa pop na dansi kutoka nchini Burundi, Bi. Khadja Nin.[1]

Wale Watu
Wale Watu Cover
Studio album ya Khadja Nin
Imetolewa 1992
Aina Pop, afro-pop, ballad, soul
Wendo wa albamu za Khadja Nin
"Wale Watu
(1992)
"Samba Latino"
(1992)

Orodha ya nyimboEdit

Hii ni orodha ya nyimbo katika albamu hii;

  • Wale Watu
  • Wale Watu (Instrumental)
  • Rudiya

MarejeoEdit

  1. Wale Watu katika wavuti ya Discogs