Khalid Askri (alizaliwa 20 Machi 1981) ni mchezaji wa soka wa Moroko anayecheza kama mlinda mlango katika klabu ya Raja Casablanca. Alicheza pia FAR Rabat kwa zaidi ya miaka 12.

Khalid Askri

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khalid Askri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.