Khamis Mussa au Ndende (amezaliwa 1 Desemba 1981) ni mwigizaji wa filamu, tamthilia na mwimbaji wa muziki wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.

Filamu na tamthilia alizoigiza hariri

Tamthilia hariri

Filamu hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khamis Mussa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.