Khatumo
Khatumo (kwa Kisomali: Dowladda Khatumo ee Soomaaliya, Dola la Khatumo katika Somalia) ni jimbo la kujitegema la Somalia.
Jimbo hilo liko kaskazini-mashariki mwa Somalia, kwenye ncha ya Pembe la Afrika. [1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Khatumo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |