Khoja Ismaili Musafarkhana, Zanzibar

Khoja Ismaili Musafarkhana ni jumba lililopo Kiponda mkabala na nyumba ya Amir Gozi huko Malindi, Zanzibar.

Lilianzishwa na Khoja Esmail Ramji mnamo Desemba 1892.[1][2]

Lilitumika kuwakaribishia wageni na wasafiri kutoka kwenye jamii ya Khoja Ismail peke yake.[1]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-12. Iliwekwa mnamo 2021-05-12. 
  2. https://www.dewani.ca//af/forum/zbarjkhana.htm