1892
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| ►
◄◄ |
◄ |
1888 |
1889 |
1890 |
1891 |
1892
| 1893
| 1894
| 1895
| 1896
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1892 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 3 Januari - J.R.R. Tolkien, mtaalamu wa Kiingereza na mwandishi wa Bwana wa Mapete
- 6 Februari - William Murphy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934)
- 22 Februari - Edna St. Vincent Millay, mshairi wa kike kutoka Marekani
- 18 Machi - Robert P. T. Coffin, mshairi kutoka Marekani
- 28 Machi - Corneille Heymans (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1938)
- 3 Mei - George Thomson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937)
- 7 Mei - Archibald MacLeish, mshairi kutoka Marekani
- 26 Juni - Pearl S. Buck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938)
- 23 Julai - Haile Selassie, Mafalme Mkuu wa Ethiopia
- 6 Septemba - Edward Appleton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1947
- 10 Septemba - Arthur Holly Compton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 28 Septemba - Elmer Rice, mwandishi kutoka Marekani
- 10 Oktoba - Ivo Andric (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1961)
Waliofariki
hariri- 23 Oktoba - Emin Pasha, daktari na mwanasiasa Mjerumani aliyefanya kazi katika Milki ya Osmani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: