Ki-Jana Hoever
Ki-Jana Delano Hoever (amezaliwa 18 Januari 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya Uholanzi ambaye anacheza kama beki wa Liverpool F.C..
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ki-Jana Hoever kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |