Kia Mariga
0°32′23″S 37°27′32″E / 0.53972°S 37.45889°E
Kia Mariga (pia: Kwa Mariga, ama Mariga tu) ni eneo katika Kaunti ya Embu nchini Kenya. Ni mahali ambapo sehemu ya vita vya Mau Mau vilifanyika.
Kikundi cha Mau Mau kilichopigana na Waingereza hapo kiliongozwa na anayejulikana kama Meja Blue[1].
Marejeo
hariri- ↑ Kareithi, P. M. (1969). Kaburi bila msalaba. East African Pub. House.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kia Mariga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |