Kiaari
Kiaari ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waaari. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiaari imehesabiwa kuwa watu 155,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaari iko katika kundi la Kiomotiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiaari kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaari Ilihifadhiwa 3 Julai 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiaari katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/aiw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |