Kiabaga
Kiabaga ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waabaga. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiabaga imehesabiwa kuwa watu 150 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabaga iko katika kundi la Kikalam-Kobon.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiabaga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiabaga Ilihifadhiwa 11 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiabaga katika Glottolog
- lugha ya Kiabaga kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiabaga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |