Kiachang
Kiachang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Waachang. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiachang nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 27,700. Pia kuna wasemaji 35,000 nchini Myanmar (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiachang iko katika kundi la Kiburmiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiachang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiachang Archived 8 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiachang katika Glottolog
- lugha ya Kiachang kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiachang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |