Kiache
Kiache ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiache imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiache iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiache kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiache Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiache katika Glottolog
- lugha ya Kiache kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiache kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |