Kiafitti ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Waafitti. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kiafitti imehesabiwa kuwa watu 4510. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiafitti iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiafitti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.