Kiagatu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waagatu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiagatu imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiagatu iko katika kundi la Kiidomoidi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiagatu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.