Kiagta cha Dicamay

Kiagta ya Dicamay ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waagta. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiagta ya Dicamay, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiagta ya Dicamay iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiagta cha Dicamay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.