Kiainbai ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waainbai. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiainbai imehesabiwa kuwa watu 100, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiainbai iko katika kundi la Kibewani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiainbai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.