Kiainu ni lugha ya Kiturki nchini Uchina inayozungumzwa na Wauyghur. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiainu imehesabiwa kuwa watu 6750. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiainu iko katika kundi la Kiturki ya Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiainu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.