Kiajawa kilikuwa lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria iliyozungumzwa na Waajawa. Kati ya mwaka wa 1920 na 1940 wasemaji wa Kiajawa waliacha lugha yao na kuongea Kihausa hasa. Kwa hiyo lugha ya Kiajawa imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiajwa iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiajawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.