Kiak
Kiak ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waak. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiak imehesabiwa kuwa watu 75 tu na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiak iko katika kundi la “Yellow River”.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiak kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiak Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiak katika Glottolog
- lugha ya Kiak kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |