Kiaka (Sudan)
Kiaka au Kisillok ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wasillok. Lugha isichanganywe na lugha ya Kiaka ambayo huzungumzwa nchini Jamhuri ya Kongo. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kiaka imehesabiwa kuwa watu 300 tu, maana yake lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaka iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiaka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaka Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiaka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/soh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaka (Sudan) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |