Kiakpa
Kiakpa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waakpa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiakpa imehesabiwa kuwa watu 26,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakpa iko katika kundi la Kiidomoidi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiakpa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiakpa Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiakpa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/akf
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiakpa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |